Pages

Wednesday, January 17, 2018

SIKU YA KUANZA MITIHANI (NECTA) - WANAFUNZI KIDATO CHA NNE 2017 KATIKA PICHA

Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2017, ambao walikuwa watahiniwa wa mitihani ya kumaliza kidato cha nne mwaka 2017.
siku hii ilikuwa ni siku yao muhimu sana, wakiwa wamefika shuleni asubuhi na mapema, wakiwa nadhifu na wenye kujiamini kwa maandalizi mazuri tayari kuanza mitihani yao ya mwisho kidato cha nne.
zifuatazo ni baadhi ya picha siku ya kwanza ya kuanza mitihani na siku ya mwisho walipomaliza mitihani yao ya kidato cha nne.














******************

No comments:

Post a Comment