Mbali
na kujibidiisha katika masomo ndani darasani, pia vijana wetu
wanavipaji na uwezo wa mambo nje ya darasani. Katika nyanja za sanaa
za maonesho (maonyesho), baadhi ya wanafunzi wamejipambanua kiuwezo
katika maigizo, kucheza, ngoma, mitindo ya mavazi ya kada tofauti
tofauti na uimbaji.
Hivyo
katika shughuli za burudani kama siku ya maonyesho ya kitaaluma na
siku ya mahafali ama kukaribisha ugeni rasmi hapa shuleni, vijana
hawa wamekuwa wakifanya vizuri katika sanaa na vipaji walivyonavyo
kwa dhima ya kuburudisha, kuonya na kuelimisha.
Katika
picha . . . ni baadhi ya matukio ya sanaa za maonesho / maonyesho
yaliyofanywa na wanafunzi:
MAIGIZO
NGOMA
MITINDO
|
Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu |
|
Onesho la mtindo / vazi la Kiongozi wa kidini - kikristo |
|
Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu na Kiongozi wa kidini - Kiislam |
|
Onesho la mtindo / vazi la Hijab ..... mtu mcha Mungu - Muislam |
|
Onesho la mtindo / vazi la Uuguzi - Muuguzi (Mtumishi sekta ya Afya) |
|
Onesho la mtindo / vazi laKimasai - Utamaduni jamii ya Maasai |
|
Onesho la mtindo / vazi la Kitenge - Mishono ya nguo za Vitenge |
|
Onesho la mtindo / vazi la vitenge - na mavazi ya wasichana (ya heshima) |
|
Onesho la mtindo / vazi la khanga - mavazi ya nyumbani |
|
Onesho la mtindo / vazi la kijana - kijana wa kiume |
|
Onesho la mtindo / vazi la mhudumu wa vinywaji |
|
Onesho la mtindo / vazi la mkulima |
|
Washiriki wa mavazi na mitindo wakimalizia onyesho lao kwa pamoja |
NYIMBO
|
Kijana Nicholaus akionyesha uwezo na kipaji chake cha kucheza mziki kwa kujinyonga nyonga maarufu kama " Shaking Body'' |
*
* * * * * * * *
No comments:
Post a Comment